Someone In Seoul - SWAHILI LYRICS

*Translation by Wangu (TW@One_gle)
Umesimama kwenye njia pandaukiwazaunaelekea  wapi unatazama juu,  sababu  anga bado  ni bluuumemeza maumivu yote ya moyoukiogopa  makosa yote Niamini, nimepitia hapo pia
Ni Sawa ChukuamapumzikoElewaNdoto zakozinakusubiriKwa hivyo, pumzikasitisha na pumuakuna nyakati kama hizi pia 
Najua kuwa maisha sio sambambaLakini Kama walivyosema, Jua lazima  lituweKabla lichomozeKwa hivyo Tazama juuna utajua kuwaKuna mtu kule Seoul ambaye anakuelewaNi vyema kushika hii mikonousife moyo
wakati umepigana na nguvu zako zotePumzika raha hapo usiku wa leoKwa sababu niliuambia mwezi kukuhusuKila tabasamu liloficha machozilakini likaonyesha mwanga wakoukapigana na NakuahidiMaisha yanarembesha zaidi ukiwepo
Ni sawaNyatuapolepoleNendaIshi maisha kwa kasi yako mwenyeweUnaweza hisi ni kama umebaki nyumaLakini, maisha sio mashindao
Naelewa maisha sio sambamba Lakin kama walivyosema Jua lapaswa kuzamaKabla lichomozeKwa hivyo usiinamishe kichwaTazama Juu Na utajua kuwa Kuna mtu huko Seoul anayekuelewani sawa kushika mikono hii
Na wakati ambao hii mbio imekulemeaNitazame machoniHesabu Moja hadi tatuNa wakati ulimwengu umekulazimisha usongeTafadhali jua kuwa wewe ni jasiri kwa kukata tamaa piaCO
Hii mara pekeeJiinueMara moja tena 
Najua kwamba maisha sio sambamba Lakini Kama walivyosema kwamba ili ujiinue, kunazo mara itakubidi uangukeKwa hivyo chukua muda wako wote Kumbuka ni sawaHao Saba kutoka Seoulwanajua uchungu wakoNatarajia siku mojajikumbatie"ni sawa"Mwanzohuanzawakati kitu kimeishiaKwa sababu umetoka mbalikupitia yote yasiyo na uhakikaPamoja mbali, lakini sio pekee Kupitia mioyo yetu, tulipata nyumbani usife moyo 
** You don't see the translation in your language and you want to contribute with translating it? You can now do it, you'll just need to fill out this form 
EmailSpotifyYouTubeTwitterInstagramTikTok